GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sitaki kuiamini sababu kuwa Kusafiri kwa Basi kwenda Kagera ndiyo kumesababisha Uchovu ule Uliioonekana kwa Wachezaji walipocheza na Kagera Sugar FC.
Ila nikiambiwa moja wapo ya Sababu hizi za Kiuchunguzi nilizozifanyia Kazi nitaaziamini tena kwa 100%.
1. Posho za Wachezaji Kulimbikizwa huku Wengine wakinungunika kwa Wageni Kuthaminiwa na Wazawa Kupuuzwa na kuwachukulia Poa.
2. Wachezaji Waandamizi Kuihujumu Timu (Klabu) kwa Kutumika na Maadui.
3. Kauli ya CEO Barbara Gonzalez kuwa kuna Panga Kubwa katika Dirisha hili Dogo la Usajili imeharibu Saikolojia za Wachezaji wengi kwakuwa wengi hawana uhakika wa hatma yao ndani ya Simba SC.
4. Wawania Uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC kwa Makusudi kuanza Kusalitiana ili Kundi Moja liamimike na Wanachama ambako Kunaigharimu Klabu/Timu.
5. Kuendelea kuwepo kwa Wasaliti Wakuu Watatu ambao wenye PhD na Soka la Tanzania (Bongo) tunawajua kuwa ni wa upande wa Pili ila nilishangaa kuona Wanachama wa Simba SC wakiwapa Kura za Ndiyo katika Uchaguzi Mkuu huku Wengine bila kujua Mwekezaji Mohammed Dewji akawaamini na Kuwajumuisha katika Bodi ya Simba SC.
6. Timu kuwa na Ukata mkubwa wa Kifedha huku Hela za Mwekezaji Bilioni 20 na zile za Wadhamini Wabetishaji Milioni 26 zikiwa si tu hazionekani bali hazijulikani zimesaidia nini.
7. Maagizo muhimu ya Wataalam wetu (African Culture) Kutozingatiwa huku Wengine wakidhulumiwa Pesa zao kwa Kazi Ngumu ya Kiutamaduni wanayoifanyia Simba SC
Huu ni mtazamo.wangu tu GENTAMYCINE na simlazimishi Mtu auamini bali napenda Uheshimiwe kama ambavyo nami pia naiheshimu yenu.