josephantcharles
Member
- Aug 16, 2015
- 88
- 27
1⅛×9²=¿¿?Mkuu hii unaandika hebu tusaidieni sisi tusiojua maana hata jf ipo kwa ajili ya kuelimishana.
Hold namba 1, au 2 zen utaona mambo yametokeaMkuu hii unafanyaje tupeane maujanja?
Kuna jamaa hapo juu ameelekeza vizuri sana jaribu kuangalia.Tuelekezane mkuu, jinsi ya kuchora na kuandika fractions