Ila jamani mitandao ya kijamii ina balaa.
Ukute hapa nilipo kwenye post hii hii ya mistari, baba yangu mdogo au mjomba au shangazi au bamkubwa nae pia yupo anachora hii mistari huko kwake.
We mtoa mada ndio nini watu wazima sisi kutukalisha chini kuchora mistari na baba yangu mkubwa?
Hahahhahahh
Mtoa mada unawazo zuri sana,lakini sasa watanzania wana akili za ajabu sana,ili kukuonyesha wao ni wajanja kwa taarifa yako,wana copy and paste tu, huo msitari wako,anza na mimi mwenyewe