ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Sawa Ila Swali limeulizwa Bila Kuhusisha Dini Unawezaje Kuhusisha Dini?ni wapi nimejadili kwa mlengo wa kidini? isitoshe Dini ni sehemu ya maisha yetu inaathiri karibia kila nyanja ya maisha yetu wakati mwingine bila hata ya kujua, mfano unawezaje kujadili elimu tanzagiza bila ya kutambua mchango wa Dini kwenye hiyo sekta?
Namba za NIDA zimeanza kutolewa lini, kabla ya hapo hakukuwa na raia wa Tanzania?Hizo taarifa zipo kwenye namba ya NIDA wew zwazwa. Kuwa na SLP pia sio lazima. Kwa vile Leo TU ndo ninahuitaji. Unabwabwaja kumbe SLP hujui maana yake 🫵🏼 lol
Sawa Ila Swali limeulizwa Bila Kuhusisha Dini Unawezaje Kuhusisha Dini?
Wewe Ni mgeni wa Historia?kwa sababu Dini ni maisha, if you break it down utaona unarudi pale pale, mfano nani alileta na kujenga masunduku ya posta tanzagiza? na je, kabla ya Ukristo kulikuwa na masunduku ya posta? na kwa nini watanzagiza hawana anwani mpaka leo hii karne ya 21 ? maendeleo ya jamii zote yalihusisha Dini moja kwa moja ….
Wewe Ni mgeni wa Historia?
Kulikuwa na Mifumo Mingi sana inayofanana na Huduma Ya Posta Kabla ya Kuingia kw ukristo Duniani..
Nitakupa Mifano kadhaa tu.. unaufahamu wowote Kuhusu "Angarium"? Au mfumo unaitwa Cursus Publicus ambao ndo mfumo mnaoita Posta sasa Ulianzishwa na Augustus (aliyezaliwa 23 September 63 BC – 19 August AD 14), mfumo Umeanza kutumika Hata kabla ya Yesu Hajazaliwa So Ningependa Ukipata Muda Ujielimishe Kabla ya Kuleta Udini kwenye Nyuzi za Kielimu
mjinga sana wewe tena zwazwa kamongo kabisa!halafu kuna watu wanalaumu na kukejeli ujio wa Christiniaty tanzagiza kwamba kabla ya Ukristo kuja tulikuwa na dini zetu na maisha bora, sasa mnaona hana anwani tu hatuna, hayo masanduku machache ya posta ni Christians waliyajenga, lkn sehemu kubwa ya watanzagiza hawana anwani, kwa kifupi hawatambuliki na serikali kama raia wengi hawalijui hili, wengi wanaishi kama wanyama tu porini no address, no nothing, i blessed the day Wamishionari walivyotia mguu hapa kwetu, vinginevyo hali ingekuwa mbaya zaidi …
mjinga sana wewe tena zwazwa kamongo kabisa!