Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Uwanja wa Liti ni mgumu sana na kwa aina ya wachezaji wa Singida, Yanga hakuwa na uhakika wa kutoboa mechi hiyo, Singida wametoa sare moja t na JKT na wote aliokutana nao amewaua, wana wachezaji wenye uwezo wa kupambana na klabu yoyote ile nchini, hivyo gemu ingechezwa Liti kule kwao mkubwa angedhalilika, uzuri wenyewe mwenye Singida ndio huyo huyo mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, haya mambo kwa watu wenye weledi mdogo kama Kasongo hawawezi kuelewa, wao wamebaki kuwa walevi tu sasa hivi, wanaendeshwa na GMS basi.
Kwa tunaoelewa kwa mara ya kwanza Singida anaenda kujiangusha zenji ili mkubwa azidi kusonga mbele, mkubwa amemuahidi Singida atamsaidia kwa hali na mali ashike nafasi ya pili kwa sababu mipango yote anaijua, sharti akubali gemu ichezwe zenji afe halafu wao watawasaidia watakapokutana na mnyama, aibu sana hii.
Anyway wapeni tena ubingwa hamna shida