TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Je hali inayoelezwa hapo chini ni kweli?. Kuna kitu muhimu kimeachwa hapo chini ambacho kinaathiri maisha ya mtanzania ambaye vitu vingi vinatoka nje, nacho ni kushuka kwa thamani ya shilingi ya kitanzania (kwa sasa 1$=1500). Tukitathimini hiyo ,sijui kelele za kuwa watanzania wana maisha bora sasa kuliko JK alipo ingia madarakani itakubalika?. Mbaya zaidi tumeamua kuingiza siasa mpaka kwenye utoaji wa takwimu ikiwemo REDET ile ya wasanii. Angalieni takwimu za mfumuko
wa bei zilizo toka!!
KIONGOZI BENJAMIN WILLIAM MKAPA Vs JAKAYA MRISHO KIKWETE
MWAKA 2000 - 2004 Vs 2005 - 2009
Unga 460 Vs 1000 = 217%
Mchele 600 Vs 1200 = 200%
Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210%
Mkate 250 Vs 700 = 280%
Maharagwe 360/kg Vs 1000/kg = 277%
Mafuta ya taa 450/lt Vs 1050 = 233%
Mafuta ya uto 178/lt Vs 720/lt = 404%
Nazi 100 Vs 550 = 550%
Mchicha/tembele 50 Vs 150 = 300%
Bia sh 800 vs 1500.
Unalipwa 100,000/-kwa mwezi kwa jedwali la hapo juu kila siku lazima
ununue unga robo 400, mchele nusu 300, uto kibaba 125, mafuta taa
kipimo 300, sabuni nusu kipande 50, sukari robo 400, maharagwe robo
250, mkaa nusu kisado 300, nauli go & return 500, maji ya kunywa 500, hapo ni bachalor kwa siku ni 3,125 mara 30 = 93,750 kwa mwezi. Okay kodi kwa mwezi 20,000/- umeme 6000 kwa mwezi =total kwa mwezi ni 120,000/- je hiyo 20,000/- ziada katoa wapi????? ndo hizo mwisho wa siku zina wapeleka jela au kuwanaachishwa kazi. Je maisha bora hapo atoe wapi? Na je angekuwa na mtoto wa shule au watoto wawili? hapo hajaumwa, hajatembelewa na mgeni akamnunulia soda, hajanunua nguo nyingine!!!! Huyu mnaempigia kura hayajui hayo na hatambui kama una familia kijijini pia. wao wanatibiwa na serikali, mafuta ya magari kwao ni sawa na kumuuliza bibi akupigie story ya sungura. wenzie wakitaka ongezo la mshahara wanajadiliwa in 2Hrs jibu tayari ila
waalimu na wenzao.........! 3 years.
Yeye huyu JeyKey na hao wapambe wake na hao wanajipendekeza kama Shigongo waulizeni watoto zao ni akinani? utaambiwa mbunge, mara yuko BOT mara yule wa mwisho yuko ulaya kamtembelea shangazi yake, mara yuko busy na tenda ya kusuply komputa Wizarani. Wewe je unae mpigia kura tupe wasifu wako hata hao watoto wako na wategemezi wako. Hata baiskeli kule kijijini huna wala wazazi wako ndo unakesha kuwaombea wasiumwe kwa kuwa gharama za hospitali zitakuwa zako.
Muulize kesi za mafisadi vipi? Na je wanampango gani? utaambiwa yuko busy na harakati ya kutafuta ulaji kwa mara ya pili.
Basil Mramba na Rostam Azizi anawapigia kampain majimboni mwao hao mafisadi.
Hao wapambe wake na mawaziri wanaendesha magari gani utaambiwa aah wana tano tano kila wizara VBV8, uliza bei zake kila moja, inatumia
mafuta kiasi gani kwa mwezi, na majukumu yake ni yapi? Na je
zinakoenda akina RAV4, Suzuki, BMW ndogondogo hawafiki? Utaambiwa
wanawahi kuwasilisha agenda. KWEEELI?
Na je hizo gharama za uendeshaji fedha zinatoka wapi? Utajibiwa kwenye mfuko wa serikali. Waulize serikali ina miradi gani ya kuweza
kuendesha hayo magari tu achana na posho zao na mengineyo? Jibu ni
KODI ZENU wananchi waungwana tulio na amani na utulivu kwetu. KWEELI kwa mshahara wa laki mbili zangu/zako?
FUNGUENI MACHO NA AKILI ZENU WAUNGWANA. Wenzenu Zenji wameshaliona hili wameamua kujicholea MIPAKA yao Mapema.
MTAENDELEA KUZUBAISHWA NA STORI ZA KUTUNGA NA UDAKU NA KUSHANGILIA MISAFARA MIREFU YA KAMPENI INAYOUNDWA NA KODI ZENU MPAKA LINI?.