Kama Sio Hili Jeshi, Taifa Lingeingia Kwenye Noise Pollution.

Makelele yote haya mtaani husikii kutoka kwa vyura?
 
Mama chura kiziwi anajua?
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    47 KB · Views: 27
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Vile manara anacheka
 
Mbona refa hayupo mkuu hapo kwenye picha ndio man of the match.
Nilifikiria kumuweka lakini nikakumbuka hata nyinyi akina Tatu Malogo huwa hamuwaweki kwenye salamu za pongezi.
 
Nilifikiria kumuweka lakini nikakumbuka hata nyinyi akina Tatu Malogo huwa hamuwaweki kwenye salamu za pongezi.
Kuna team Tanzania imenufaika kwenye premier league kushinda yanga au kwasababu mshazoea kulalamika.
 
Refa tutamueka apo mpaka mtuambie lile goli la Aziz ki club bingwa ni goli au sio goli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…