Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
Ndugu zangu nimeona niwasanue mapema usipopata mchongo ama ajira awamu hii ya mama Samia imekula kwako kama kijana ambaye kitaa kilinichakaza vya kutosha nakushauri fanya yafuatayo
1. Suka Cv yako sambaza kwenye NGOs na private companies . nakushauri hivi kwasababu kuna kundi kubwa la washkaji wanapata ajira serikalini kule magepu yapo
2.Certify vyeti mahakamani na tenga nauli ya interview, jisajili ajira portal wale wana ukikaza sahili zao unapata mchongo popote sensitive serikalini pasipo connection yoyote . wana kibao wako mzigoni kisa Psrs
3.Jisajili TAESA wanatafutia fresh graduates internship serikalini na private, na ukipata private internship umeula mzee nina wanangu wawili wamekula mkataba world vision na Pass
4.Muombe sana MUNGU akufungulie mlango , jua la mtaani sio poa wana kibao walisha jikatia tamaa kisa ugumu wa fursa kitani.
Hitimisho: Kijana ukicheza awamu hii ya sita kwenye ishu za fursa na ajira imekula kwako. sitaki nikumbuke jinsi nilivopauka kwa msoto zamani, wake up before its too late.