Rahajipe
Senior Member
- Oct 29, 2012
- 165
- 63
Hakika inaelekea watanzani kama si wajinga basi tumekuwa wapole kupita kiasi!! Hivi kweli kwa hali iliyopo katika Kituo cha Mabasi Ubungo kuna sababu gani ya kuendelea kulipia kiingilio wakati hakuna huduma yoyote ya kijamii inayotolewa humo??
Hivi ni lini tutatambua haki zetu??
Kuna haja ya kutoka usingizini sasa.
Hivi ni lini tutatambua haki zetu??
Kuna haja ya kutoka usingizini sasa.