Kama sio wizi, kuna sababu gani ya kulipia gate pass kituo cha mabasi ubungo

Rahajipe

Senior Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
165
Reaction score
63
Hakika inaelekea watanzani kama si wajinga basi tumekuwa wapole kupita kiasi!! Hivi kweli kwa hali iliyopo katika Kituo cha Mabasi Ubungo kuna sababu gani ya kuendelea kulipia kiingilio wakati hakuna huduma yoyote ya kijamii inayotolewa humo??
Hivi ni lini tutatambua haki zetu??
Kuna haja ya kutoka usingizini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…