Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Aisee kama mwanadamu ndiye ameletwa kuja kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe kama nyoka,simba,chuo,tempo na baadhi ya viumbe? Na kwanini? Napatwa na hasira nyingi kujiuliza kwanini tunavihofia viumbe vingine? Mamba hana akili lakini kwanini tumuogope kiumbe asiye na akili? ?????