Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Mwisho wa kunukuuKutawala ni administration sio ubouncer
Uzi ufungweKutawala ni administration sio ubouncer
NGOJA NAMIMI NIJISOMEE BIBLIA YAMKINI TUTAPATA JAWABU TUKIACHANA NA SABABU ZA ASILI NA TABIA ZA WANYAMA NA VIUMBE, UTASHI NA AKILI.Aisee kama mwanadamu ndiye ameletwa kuja kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe kama nyoka,simba,chuo,tempo na baadhi ya viumbe? Na kwanini? Napatwa na hasira nyingi kujiuliza kwanini tunavihofia viumbe vingine? Mamba hana akili lakini kwanini tumuogope kiumbe asiye na akili? ?????
Ushasema hana akili ila itategemea hizo akili hana akiwa wapi maana kuna maeneo yake ukimkuta ndio utamjua ana akili au hana akili, hata wewe kuna eneo ukiwekwa waliokuzunguka watakuona huna akili ila kuna angles zako ukiwekwa kila kiumbe kitakuheshimu na kusema jamaa ana akili balaaMamba hana akili lakini kwanini tumuogope kiumbe asiye na akili? ?????
Umeshawahi kupiga story na mamba akakwambia hana akili? Hii Conclusion ume-draw ukiwa wapi? Na hio research uliifanyia wapi?Mamba hana akili lakini kwanini tumuogope kiumbe asiye na akili? ?????
Nilipiga nae story nikiwa mto rufijiUmeshawahi kupiga story na mamba akakwambia hana akili? Hii Conclusion ume-draw ukiwa wapi? Na hio research uliifanyia wapi?
Rudia tena mamba hana nini?Aisee kama mwanadamu ndiye ameletwa kuja kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe kama nyoka,simba,chuo,tempo na baadhi ya viumbe? Na kwanini? Napatwa na hasira nyingi kujiuliza kwanini tunavihofia viumbe vingine? Mamba hana akili lakini kwanini tumuogope kiumbe asiye na akili? ?????
Mamba mtu au mamba yule kwenye mto pale palipochukua watu wengi mtoni kwa kuliwa na mamba mto Rufiji kabla Mkapa hajaamua kuwajengea daraja ndugu zake wa Kusini ili wasiliwe na Mamba kwenye Mitumbwi kuvuka mto pale Nangulukuru?Nilipiga nae story nikiwa mto rufiji