The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Mie sijui. Si anaitwa daktari. hata na maprofesa kama Kabudi? Ulevi ni wangu au wako mwanangu? Je, unaishi Tanzania au shimoni kuzimu?Raisi daktari wa nini!?, sometimes mkilewa pombe za bei rahisi bora mlale kuliko kuanzisha thread za kisengerema.
Kama hakujiondoa kafanya nini? Wengi walildhani angeteuliwa waziri mkuu.Kwa hyo Kwa akili Yako tulia kajiondoa😄😄😄
Hata Zungu akiamua kujiita daktari sawa tu, kwasababu hana tofauti yoyote na hao madaktari uchwara wengine!Kwa usomi, Tanzania tuko mbali. Rais daktari, makamu wa rais daktari, nusu na spika awe daktari. Sasa tunapambana na Kenya. Rais daktari, makamu wa rais profesa na waziri mkuu nnnh! Tulia umetuangusha kwenye 'usomi.'
Anafikiri hivo, mtu utie Nia halafu dakika za mwisho unajiondoaKwa hyo Kwa akili Yako tulia kajiondoa😄😄😄
Thubutuuu.amekataliwa ila viongozi wa Tanzania hawana hulka ya kujitoaAnafikiri hivo, mtu utie Nia halafu dakika za mwisho unajiondoa
Huyo lengo lake lilikuww ni kugombea uspika .Samia kamkataa mapema ndo akaamua kujitoa.ila ameanza kukataliwa kwanza.vinginevyo angekomaaKama hakujiondoa kafanya nini? Wengi walildhani angeteuliwa waziri mkuu.
Jiridhishe na usomi wa kila anayejiita Daktari, wengine wajibambika sifa ambayo hawana.Kwa usomi, Tanzania tuko mbali. Rais daktari, makamu wa rais daktari, nusu na spika awe daktari. Sasa tunapambana na Kenya. Rais daktari, makamu wa rais profesa na waziri mkuu nnnh! Tulia umetuangusha kwenye 'usomi.'