Kama Taifa, hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote CHADEMA

Upo sawa,lakini tatizo kubwa lipo kwenye katiba,katiba yetu kwa sasa haifai hata kidogo. Ingepaswa kubadilishwa hata ndani ya wiki moja.
 
SISI NI MABALOZI WA AMANI NA SIO HIZO SIASA UNAZOJARIBU KUZIONGELEA HAPA
 
Binafsi ningependa chama kingine kishike madaraka tupate mabadiliko
 

Wenzako wamepanga foleni wanagombania maji ya tope Dsm wewe unaropoka Machadema, sijui madudu gani.

Watalii wamegoma kuja wewe unapambana na siasa za maji taka.

Wakifutwa maisha yako yataimarika vipi.

Mpaka sasa hawapo madarakani, hawafanyi siasa, wamefungwa, wameuwawa. Mbona hawajawazuia kuiba, kusaini mikataba ya kinyonyaji, ya Bandari, airports, madini nk.

Wakifutwa ndiyo vizuri ili mapepo yenu ya kumwaga damu yachachamae, muanze kuuana wenyewe.
 
Mleta mada dishi limeyumba.

Chadema wamefungiwa kufanya siasa na matapeli wenu mahakimu wa mchongo na vibaraka msajili miezi mwaka nzima sasa bado mnawajadili tu.

Kama wangekuwa ulingoni wanafanya siasa nadhani mungeorodhesha familia zao Tanzania nzima muwauwe kwa halaiki kwa pamoja
 
SISI NI MABALOZI WA AMANI NA SIO HIZO SIASA UNAZOJARIBU KUZIONGELEA HAPA
Sisi hatukupimi unavyotaka tukupime, tunakupima kutokana na unachochangia. Yaani ww ni chawa unayeona aibu kukaa kwenye nafasi yako.
 
Binafsi ningependa chama kingine kishike madaraka tupate mabadiliko
Acha mbwembwe ww, huna ujanja wa kuendesha maisha nje ya ccm kuwa madarakani. Ccm ikitoka madarakani utaolewa hapa mjini dogo.
 
Sisi hatukupimi unavyotaka tukupime, tunakupima kutokana na unachochangia. Yaani ww ni chawa unayeona aibu kukaa kwenye nafasi yako.
HOW MUCH MONEY IV BEEN PAID FOR SUCH WORK?
 
Wakoloni wa Kizanzibari tutawapinga kwa nguvu zote hata kama watakuwa na lundo la chawa wewe ukiwa mmoja wao, pamoja na kutokuwa mtu wa kuamini wanasiasa especially siasa za vyama lakini ni bora CHADEMA mara milioni kuliko CCM isiyo na nia njema kwa Watanganyika. Probably you’re right CHADEMA wanatukana mitandaoni je adhabu ya kutukana ni kukifuta chama? Vipi CCM wanapotuna waliouawa na waliojeruhiwa kwenye maandamano? Vipi CCM wanapotukana watu wanaoulizia ilipo miili ya ndugu zao wasioonekana mpaka leo hii nayo pia ifutwe?
CHADEMA waratibu wa vurugu(probably) na CCM ni waratibu wa utekaji, ufiraji na uuaji so kipi kinapaswa kufutwa hapo?
CHADEMA inatumiwa na mabeberu(presumably) lakini tulilonalo uhakika mia kwa mia ni la CCM kutumiwa na Waomani(blood suckers) ambao wanaunyonya na kuubagaza uchumi huku wakiwadhalilisha Watanganyika.
 
Acha mbwembwe ww, huna ujanja wa kuendesha maisha nje ya ccm kuwa madarakani. Ccm ikitoka madarakani utaolewa hapa mjini dogo.
Ungejua hata kadi sina usingesema haya
Unayosema now
 
Kwa sasa uongo ni fashion kwenye nchi hii. Mfano halisi ni matokeo ya uchaguzi juzi.


MKUU , Mimi kwa sasa I'm the leader kwahiyo I'm no longer complaining about the situation but all I do is to think about how we can handle the situation.
 

Hayo ni baadhi ya matukio ya ccm. Jee unaloukilokemea kati ya hayo?
 
WAPENDA HAKI WOTE NA WENYE MAPENZI MEMA NA TAIFA LETU LA TANGANYIKA naomba mnisaidie kublock/IGNORE wafuatao tena Kimbesa11 Tlaatlaah MamaSamia2025 THE BIG SHOW GENTAMYCINE kama tulivyofanya jana kwa mtu huyu@Haya land
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…