Kama Taifa, hatutakiwi kuwapa nafasi yoyote CHADEMA

MKUU , Mimi kwa sasa I'm the leader kwahiyo I'm no longer complaining about the situation but all I do is to think about how we can handle the situation.
Huna lolote, Simbachawene mwenyewe ni waziri kasema kuhusu kukamata kama utekaji na bado hasikilizwi, itakuwa ww? Labda useme ww ndio Samia, Nchimbi ama Mwigulu, hao ndio wenye vyeo vya juu zaidi ya huyo Simbachawene..
 
You motherfuckers Called GEN Z

You want the result without the work. ,another way if you want the success under the lights you have to work in the dark.

25D , we Can't tolerated fucn anymore
We chawa waombe wakulipie na english course!.
 
Inafurahisha kuona jinsi CHADEMA ilivyokukaa kichwani. Unaiwaza 24/7 na inaishi bure kwenye akili kidogo uliyonayo. Ndiyo kusema CHADEMA hailipii kodi kuishi akilini mwako bure

Hongera sana CHADEMA
 
You motherfuckers Called GEN Z

You want the result without the work. ,another way if you want the success under the lights you have to work in the dark.

25D , we Can't tolerated fucn anymore
Hannah huyu mtu na hii lugha ya kiingereza walishashindwana. Hii english yake ni zaidi ya aibu
 
Inafurahisha kuona jinsi CHADEMA ilivyokukaa kichwani. Unaiwaza 24/7 na inaishi bure kwenye akili kidogo uliyonayo. Ndiyo kusema CHADEMA hailipii kodi kuishi akilini mwako bure

Hongera sana CHADEMA
Chadema ni kikundi cha panyaroad
 
Akili za kutawala milele
 
Chadema ya Simba ni kama maji yani, usipoyanywa, utapikia, usipopikia utayaoga, usipooga ukurutu wako mkeo atasafishia mambo yani ndo maana haiishi midomoni kwa mama, mwegulu na kuendelea chini hadi kwa chawa wote mitandaoni na mitaani.

Lakini ujue nini? Chadema is here to stay, sio mama yenu wala baba kakwete kanaweza kuiua! Mtakufa mufuate jiwe aliyejaribu kuiua, wasira alisema chadema itakufa angali kijana wakati nusu ya chawa hamjazaliwa hadi sasa keshafikia kupoteza kumbukumbu anakaribia kutangulia mbele ya haki pia.

Mtaiacha... kiufupi ipo mioyoni mwa watanzania.

Kamalizaneni kwanza na genzee kule, wanamlaza mama yenu samuya na heart attack kuna siku atashindwa kuamka yani msijeshangaa.

Chadema is not your league vijana chawa wala masisiemu mengine yote
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelza utawala wao wa kidhalimu
 
Wewe Fala umetokea wapi?
Angalia umri unaenda huo bado umekuwa mjinga wa kutegemea buku 7....amka Toka uzingizini wewe lofaaaa
Acha chuki na uchochezi Tanzania yetu wote.
 
CCM ni watekaji,wauaji,mafisadi,wachafuzi wa uchaguzi.
Miaka 60+ maji shida,darasa moja watoto 100+ kinyume na sera ya elimu,walimu hawatoshi, barabara mbovu.....huko vijijini maisha ni hatari sana.
Lakini tuna Tanzanite,dhahabu,gesi, almasi, uranium,makaa ya mawe,madini ya chuma n.k.
 
Wauaji wanajulikana
 

Attachments

  • 6226028-83e7282b13e9692e56b408b732f2b79.mp4
    3.9 MB
Ila
Ila mkundv wako na kvma yako chafu ndio vipewe uongozi sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…