Rais kuidharau katiba tena hadharani dah! Tena ndiyo katiba iliyomsababisha yeye awepo kwenye hivyo nafasi.Alifanya hivi hivi rais wa korea kusini mwaka jana. Haikukaa wiki jeshi na bunge likamtoa chap chap!
Hiyo ni mbinu kama mbinu zingine , binafsi nawapongeza sana kwa kuact namna hiyo ,wangelikuwa wanamwagika kiboyaboya wengi wao wangeliishia kutekwa ,lakini bora waonyeshe kutokutamanii kujihusisha nayo ili waendelee kujipanga kimyakimya .Ukiwasikia vijana wanavyokandia unaona kama taifa bado sana
Duh! Huyu aliyeturoga kama yupo yafaa tukamuombe tu msamaha yaishe coz dah!Samia ndiye Rais atakayeandika historia ya kuiacha nchi katika hali nzuri sana Kiuchumi.
Unakumbuka MKIU?Duh! Huyu aliyeturoga kama yupo yafaa tukamuombe tu msamaha yaishe coz dah!
Yaani hadi hapa mkuu inaonyesha bado hujafunguka kichwa kupima madhara ya umwagaji damu, huioni hatima ya Taifa baada ya CCM kufanikiwa kuifunganmidomo ya raia kwa kutumia mitutu ya bunduki .
Huyo anaetajwa kuja kuliacha Taifa kwenye hali nzuri ya kiuchumi sasa 🤣🤣 hadi sasa deni la Taifa linasoma trillion 107 kutoka 52 ndani ya miaka minne .
Hadi sasa anatajwa nakuhusishwa na ufisadi mkubwa mkubwa tena kwa ushahidi wa nyaraka za wazi na kila anaevujisha taarifa husika anahesabika kama adui wa Taifa .
Anyway , twende tu siyo kitambo tutaongea lugha moja .
Watoto wa 2000 mnatusumbua sana. Basi, endelea na agenda yako.Mkiu ndiyo wapi?