Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Record yake katikati kuchochea maendeleo endelevu kwenye maisha ya waTanzania, iko wazi na bayana sana, mathalani kwenye huduma ya maji ya uhakika, umeme wa uhakika, huduma bora za afya mijini na vijijini, huduma bora za usafirishaji wa relini, majini, ardhini na angani, huduma bora katika elimu ya msingi, sekondari na elimu na juu pia, mageuzi katika katika kilimo cha kisasa mathalani upatikanaji rahisi wa mbolea, mbegu bora, umwagiliaji na upatikanaji kirahisi pembejeo nyingine muhimu za kilimo, lakini pia mabadiliko na mageuzi katika ufugaji, uvuvi, biashara na masoko, ni record nzuri sana na inayohitaji kupongezwa na kila mTanzania..
Dhamira na nia yake thabiti na ya dhati ya kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi duniani. bila shaka matunda yake yanaonekana bayana. uadilifu, uwazi, uhuru, haki, usawa, uwajibikaji na bidii kwa watumishi wa umma, ni mambo muhimu sana yaliyopamba serikali hii sikivu ya ccm awamu ya 6 chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote.
Demokrasia ya vyama vingi inafanyika vizuri sana nchini tena katika mazingira sawa, huru na ya haki kwa vyama vyote vya kisiasa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, makongamano ya vyama vya siasa, warsha na maandamano kwa vyama vya siasa ni rukhsa kwa mujibu wa sheria..nano kama mama....
Tanzania hivi sasa inaaminika, inaheshimika, inasifika na kukubalika duniani kote, pengine kuliko kipindi kingine chochote katika historia ya Tanzania, chini ya mama huyu Rais na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan..
Umoja ,amani, utulivu na utangamano miongoni mwa waTanzania umeifanya serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kuboresha mazingira mazuri zaidi ya biashara na masoko, uwekezaji na utalii, na kuifanya Tanzania kuwa kitovu na kivutio muhimu sana kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, lakini pia kivutio kwa wafanyibiashara wa ndani na nje ya nchi kufanya biashara Tanzani.
Lipo pia ongezeko kubwa sana la watalii wa ndani na nje ya nchi kwenye maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii nchini..
Na kwenye eneo hili Tanzania imeongeza kipato kikubwa mno pamoja na pesa za kigeni za kutosha.
Hayo ni mafanikio makubwa machache tu kati ya mengi sana ambayo mama huyu amayachochea, na sasa yanaonekana kwenye maisha ya kila mTanzania.
Kama wazalendo wa Taifa hili Tanzania, tunayo kila sababu, kwa Neema na Baraka za Mungu tukijaaliwa uhai, kwenye Uchaguzi mkuu, kumpatia mama huyu Dr. Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo, endapo ataridhia ombi la waTanzania wote nchini kwamba agombee urais kwa ungwe nyingine ya pili.
Asanti sana kwa maoni yako na kuunga mkono hoja hii...🐒
Mungu Ibariki Tanzania