kwamba mdahalo uitishwe na mshirikina halafu katibu Mkuu wa CCM ashiriki majadiliano na vijanaa wachawi ambao ni shadow SGs kwenye vyama vyao, kweli?Ishindi upi wakati katibu wake mkuu anakimbia midahalo.
Wenyewe ameshajijengea Kizimkazi yake ili 2025 akajipumzikie huko, wewe unakuja na propaganda za kutaka eti aongezewe muda.Record yake katikati kuchochea maendeleo endelevu kwenye maisha ya waTanzania, iko wazi na bayana sana, mathalani kwenye huduma ya maji ya uhakika, umeme wa uhakika, huduma bora za afya mijini na vijijini, huduma bora za usafirishaji wa relini, majini, ardhini na angani, huduma bora katika elimu ya msingi, sekondari na elimu na juu pia, mageuzi katika katika kilimo cha kisasa mathalani upatikanaji rahisi wa mbolea, mbegu bora, umwagiliaji na upatikanaji kirahisi pembejeo nyingine muhimu za kilimo, lakini pia mabadiliko na mageuzi katika ufugaji, uvuvi, biashara na masoko, ni record nzuri sana na inayohitaji kupongezwa na kila mTanzania..
Dhamira na nia yake thabiti na ya dhati ya kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi duniani. bila shaka matunda yake yanaonekana bayana. uadilifu, uwazi, uhuru, haki, usawa, uwajibikaji na bidii kwa watumishi wa umma, ni mambo muhimu sana yaliyopamba serikali hii sikivu ya ccm awamu ya 6 chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote.
Demokrasia ya vyama vingi inafanyika vizuri sana nchini tena katika mazingira sawa, huru na ya haki kwa vyama vyote vya kisiasa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, makongamano ya vyama vya siasa, warsha na maandamano kwa vyama vya siasa ni rukhsa kwa mujibu wa sheria..nano kama mama....
Tanzania hivi sasa inaaminika, inaheshimika, inasifika na kukubalika duniani kote, pengine kuliko kipindi kingine chochote katika historia ya Tanzania, chini ya mama huyu Rais na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan..
Umoja ,amani, utulivu na utangamano miongoni mwa waTanzania umeifanya serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kuboresha mazingira mazuri zaidi ya biashara na masoko, uwekezaji na utalii, na kuifanya Tanzania kuwa kitovu na kivutio muhimu sana kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, lakini pia kivutio kwa wafanyibiashara wa ndani na nje ya nchi kufanya biashara Tanzani.
Lipo pia ongezeko kubwa sana la watalii wa ndani na nje ya nchi kwenye maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii nchini..
Na kwenye eneo hili Tanzania imeongeza kipato kikubwa mno pamoja na pesa za kigeni za kutosha.
Hayo ni mafanikio makubwa machache tu kati ya mengi sana ambayo mama huyu amayachochea, na sasa yanaonekana kwenye maisha ya kila mTanzania.
Kama wazalendo wa Taifa hili Tanzania, tunayo kila sababu, kwa Neema na Baraka za Mungu tukijaaliwa uhai, kwenye Uchaguzi mkuu, kumpatia mama huyu Dr. Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo, endapo ataridhia ombi la waTanzania wote nchini kwamba agombee urais kwa ungwe nyingine ya pili.
Asanti sana kwa maoni yako na kuunga mkono hoja hii...π
Mungu Ibariki Tanzania
Acha fix, CCM na midahalo wapi na wapi. Mara ya mwisho CCM kushiriki midahalo ilikuwa 1995 - 2000.kwamba mdahalo uitishwe na mshirikina halafu katibu Mkuu wa CCM ashiriki majadiliano na vijanaa wachawi ambao ni shadow SGs kwenye vyama vyao, kweli?
nadhani ingalikua ni fedheha sana kwa Dr.Emanuel Nchimbi kushiriki mdahalo ule kwasabb haukua wa hadhi yake kitaalamu,
lakini pia ingekua ni uonevu na unyanyasaji wa kisaikolojia kwa wale vijanaa ambao pia ni teketeke, wasio na hadhi kabisa ya kusimama podium moja na Dr wa falsafa Emanuel Nchimbi π
Kazi ya kuuza rasilimali zetu na kukopa mikopo? Akapimwe akili sio bureRecord yake katikati kuchochea maendeleo endelevu kwenye maisha ya waTanzania, iko wazi na bayana sana, mathalani kwenye huduma ya maji ya uhakika, umeme wa uhakika, huduma bora za afya mijini na vijijini, huduma bora za usafirishaji wa relini, majini, ardhini na angani, huduma bora katika elimu ya msingi, sekondari na elimu na juu pia, mageuzi katika katika kilimo cha kisasa mathalani upatikanaji rahisi wa mbolea, mbegu bora, umwagiliaji na upatikanaji kirahisi pembejeo nyingine muhimu za kilimo, lakini pia mabadiliko na mageuzi katika ufugaji, uvuvi, biashara na masoko, ni record nzuri sana na inayohitaji kupongezwa na kila mTanzania..
Dhamira na nia yake thabiti na ya dhati ya kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi duniani. bila shaka matunda yake yanaonekana bayana. uadilifu, uwazi, uhuru, haki, usawa, uwajibikaji na bidii kwa watumishi wa umma, ni mambo muhimu sana yaliyopamba serikali hii sikivu ya ccm awamu ya 6 chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote.
Demokrasia ya vyama vingi inafanyika vizuri sana nchini tena katika mazingira sawa, huru na ya haki kwa vyama vyote vya kisiasa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, makongamano ya vyama vya siasa, warsha na maandamano kwa vyama vya siasa ni rukhsa kwa mujibu wa sheria..nano kama mama....
Tanzania hivi sasa inaaminika, inaheshimika, inasifika na kukubalika duniani kote, pengine kuliko kipindi kingine chochote katika historia ya Tanzania, chini ya mama huyu Rais na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan..
Umoja ,amani, utulivu na utangamano miongoni mwa waTanzania umeifanya serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan kuboresha mazingira mazuri zaidi ya biashara na masoko, uwekezaji na utalii, na kuifanya Tanzania kuwa kitovu na kivutio muhimu sana kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, lakini pia kivutio kwa wafanyibiashara wa ndani na nje ya nchi kufanya biashara Tanzani.
Lipo pia ongezeko kubwa sana la watalii wa ndani na nje ya nchi kwenye maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii nchini..
Na kwenye eneo hili Tanzania imeongeza kipato kikubwa mno pamoja na pesa za kigeni za kutosha.
Hayo ni mafanikio makubwa machache tu kati ya mengi sana ambayo mama huyu amayachochea, na sasa yanaonekana kwenye maisha ya kila mTanzania.
Kama wazalendo wa Taifa hili Tanzania, tunayo kila sababu, kwa Neema na Baraka za Mungu tukijaaliwa uhai, kwenye Uchaguzi mkuu, kumpatia mama huyu Dr. Samia Suluhu Hassan ushindi wa kishindo, endapo ataridhia ombi la waTanzania wote nchini kwamba agombee urais kwa ungwe nyingine ya pili.
Asanti sana kwa maoni yako na kuunga mkono hoja hii...π
Mungu Ibariki Tanzania
hakuna haja hata kidogo kwa namba ya simu ya mtu yeyote kua mahali popote, hiyo haina maana na si muhimu kabisa zaidi ya Ukweli bayana hapo juu....Mnafanya makosa kutokuandika namba zenu za simu mwishoni mwa uzi....
Weka namba mkuu tukuunge kwenye gurupu la machawa.....au hutaki pesa ya bando
maoni na mtazamo wako ulojaa ghadhabu na mihemko ni uhuru na haki yako kikatiba,Kazi ya kuuza rasilimali zetu na kukopa mikopo? Akapimwe akili sio bure
hakuna haja CCM kufanya mdahalo na yeyote,Acha fix, CCM na midahalo wapi na wapi. Mara ya mwisho CCM kushiriki midahalo ilikuwa 1995 - 2000.
Miaka 24 iliyopita, utabisha tena.
sio mimi ni waTanzania wazalendo wote nchi nzima, wameamua kwendra na Dr.Samia Suluhu Hassan, ngwe ya pili ya uongozi wa juu nchini πWenyewe ameshajijengea Kizimkazi yake ili 2025 akajipumzikie huko, wewe unakuja na propaganda za kutaka eti aongezewe muda.
Hawa chawa waharibifu wanaomsifia huku wao wanaiba na kuomba aendelee kuwapo waendelee kuiba fedha za umma.Mungu akandamize kisu kooni kwao.Zawadi ya pekee ni kumuacha Mama apumzike kwani umri umeenda sana, ataenziwa kwa kuachia nafasi kwa damu changa. Nchi kwa sasa inahitaji Rais mwenye nguvu ya kutosha hasa miaka 50 kushuka chini. Tuwaache wenye miaka 60 na kuendelea wawe washauri tu. Mtu anapozeeka na kuendelea na madaraka yatampata yale ya Mgabe wa Zimbabwe ya watu wengine kuendesha Nchi kwa mgongo wake. Naamini Mama Samia analijua hili na muda ukifika atafanya kweli na kuenziwa daima kwa uungwana huo.
Mungu hatu, uwi tunakufa kwa uzembe wetu wenyewe na ujinga, tunakufa haraka tokana na jinsi tunavyo yaendesha maisha yetuWewe ni jinga . Jinga huchagua hata matapeli na mafisadi. Mungu akuue haraka Sana ili nchi ipunguze majinga kama wewe
wewe heshimu maamuzi ya waTanzania kwa kipenzi chao Dr.samia suluhu Hassan, baki na makasiriko yako na jamaa yako wa kuomba omba kuchangiwa tu huku uvivu wa kazi ukimzonga πHawa chawa waharibifu wanaomsifia huku wao wanaiba na kuomba aendelee kuwapo waendelee kuiba fedha za umma.Mungu akandamize kisu kooni kwao.
Mkuu angalia shabaha yako. Unapiga mtu tofauti.Kazi nzuri ipi?
Barabara nchi nzima zimeoza huna hata jaya ewe chawa mweusi?
Sijui nimekoseaje nimefuta baba...sorryMkuu angalia shabaha yako. Unapiga mtu tofauti.
πnanyumbu bana dah π
πSijui nimekoseaje nimefuta baba...sorry