Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Salamu ya nini?
Haina maana umeme toka asubuhi mmekata then mnarudisha jioni, baada ya lisaa limoja mnakata tena, sasa mlirudisha ili iweje?
Masoko kila kukicha yanaungua, nauliza bandari mmetahifisha? Au tukisema ukweli mnatukamata na kutuma wale jamaa wasiojulikana kututeka.
Taifa linaloongozwa kibepari daima huwa la kipumbavu. Imefika hatua watanzania tujielewe.