Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Tatizo lipo kwenye elimu. elimu uliyopewa kuhusiana na ubeperi ama hakika ni elimu batili.Taifa linaloongozwa kibepari
Nipo darBila shaka upo Mbeya.
Pole kiongozi...
Taifa linalongozwa na mwanamke kudadekiiHii nchi usenge tu kumamake hali sio nzuri kila siku kama taifa tunazd kurudi nyuma aibu gan hii!? Jana wamekat umeme since morning saa2 usku ndio wanarudisha ,maji piah hvohvo halafu huo umeme wenyew wamerudisha baada ya kama nusu saa wakaukata tena hv ni nn hki lkn !? Taifa gan hili jmn mbona tunanyanyasana san ,unanikatia umeme hapohapo na maji tena haki tuamken wajinga hawa wametuzoea,
Uongoz wa juu nao wamesinzia usingz wa porno kbs daah! Polen yetu waTz Mungu atusaidie sana.
Alisema watakata Miezi 6 kwani imeshakwisha au bado?Haina maana umeme toka asubuhi mmekata then mnarudisha jioni, baada ya lisaa limoja mnakata tena, sasa mlirudisha ili iweje?
Kwan Mwanamke sio mtu? Sehemu nyingi nimekuta Mwanamke anaongoza na Mambo yanaenda safi bila shida, hili la umeme litapita, suala la maji pia wameshalifanyia kazi Sasa maji ni salama kwa kunywaTaifa linalongozwa na mwanamke kudadekii