Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
I think ww n RaymondWakati mwingine mpangilio wa utoaji wa taarifa unaweza kuharibu maana au kusababisha hadhira isielewe nini kimezungumziwa.
I think ww n Raymond
Yaaap ni kitu kimoja sema mm nimeigeuza nyuma mbele, nafurahi kukufaham name mate wanguNi rahisi kufikiria hivyo kwa sababu Raimundo na Raymond ni jina moja.
Nikiiangalia na jina ID yako pia umebadili kidogo tu lakini ni mule mule.
Yaaap ni kitu kimoja sema mm nimeigeuza nyuma mbele, nafurahi kukufaham name mate wangu
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Nahisi hujaelewa billboard wanamaanisha nini kwenye hiyo issue ya tekno au kama umeelewa basi utakuwa wewe ndio umekosea kufikisha ujumbe wako, tekno hajaitwa billboard bali katajwa kama msanii anaekuja vizuri na nimsanii wa kumuangalia mwaka huu (2017) so wala sio issue ya viewers kama unavyosema wewe bali wamechukulia video ya pana kama reference kwa kile wanachoelezea
Na kama Diamond akitajwa billboard atatajwa kwa issue ingine kwani yeye sio promising artist tena bali yeye kashakuwa msanii mkubwa Africa, over
hahahahahahaSubiri wanakuja, wenyewe wakiona jina la MOND limetajwa tu,wanajihisi kuna kitu chenye ncha kali wamekikalia.