Kama tetemeko lingetokea Mbeya

Kama tetemeko lingetokea Mbeya

ShyaRuwa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
7,895
Reaction score
13,643
Ungewasikia Wanyakyusa wakisema; Kwa kweli tunaipongeza sana serikali kwa kuichagua Mbeya kuwa sehemu ya kupatwa na tetemeko la nchi.

Tumeona juhudi zao, na tunaomba sasa,..wasiishie hapo wajitahidi na mwakani pia litokee....waangalie na wilaya nyingine.

Asante sana ndugu mtangazaji sisi tuasema HAPA KAZI TU.

Lol! Mimi nasema wahanga poleni sana.
 
Ngd umeshindwa kuwapa pole wahanga unaandika upuzi haha duh! fikilia mara mbili ungekubwa wewe na familia yako alafu uone upuuzi kama huu mtandaoni acha ujinga ndg
 
Umekosea jukwaa wewe? pole tulizitolea kule JF Siasa.....Hapa tunabadili tukio lolote liwe joke ili ata kama ni la kuumiza, tujifariji.....BTW hujaona nimesema pole kwa wahanga kwenye mstari wa mwisho?
 
Tulishasema kuwa walioipongeza serikali ni wasukuma sio wanyakyusa asee
 
Ungewasikia Wanyakyusa wakisema; Kwa kweli tunaipongeza sana serikali kwa kuichagua Mbeya kuwa sehemu ya kupatwa na tetemeko la nchi.

Tumeona juhudi zao, na tunaomba sasa,..wasiishie hapo wajitahidi na mwakani pia litokee....waangalie na wilaya nyingine.

Asante sana ndugu mtangazaji sisi tuasema HAPA KAZI TU.

Lol! Mimi nasema wahanga poleni sana.

Kuna watu wako chini wamebanwa na matofali, wengine hawana maji ya kunywa wala chakula wewe uko hapa kuleta mzaha ndugu? Acha hizo mambo mengine kama hauna msaada wacha tu yapite, hili siyo swala la kutania hata kidogo!

Kila la Heri, man!
 
Unavyo lalamika hivyo, unajua nilipo mimi??? wacha tujifariji Mkuu.
 
Back
Top Bottom