Kama tukihalalisha bangi

Kama tukihalalisha bangi

vizier

Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
49
Reaction score
53
Zao la bangi limekuwa likilimwa sana Tanzania, na tumeona kwenye vyombo vya habari mara nyingi tu mashamba ya bangi yakiteketezwa.
Ni ukweli usiopingika kuwa tumbaku inamadhara makubwa kuliko bangi. Nchini malekani baadhi ya majimbo yamesha haralisha kilimo hicho na baadhi ya nnchi za ulaya.
I wapo nnchi yetu itaruhusu kilimo cha bangi itapelekea kuongeza fursa mpya za ajira na viwanda vipya, tutengeza wataalam wa kuweka katika kiwango kinachofaa.
Tutatafutia masoko ya kimataifa America na ulaya. Nakama sisi kwetu ni halamu basi tulifanye liwe zao la kusafirisha tu.
Najaribu tu kufikiri kwa sauti kubwa.
 
Ni kweli bange haina madhara.
Nchi ambazo zimeruhusu Bange zinefanikiwa kupunguza uhalifu mwingi unaambatana na Bange.
 
Pombe na sigara zunamazara makubwa kuliko bange
 
Back
Top Bottom