TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kelele huwa ni nyingi sana pale inapoonekana chombo cha usafiri hasa wa umma pale jijini Dar kujaza abilia kupita kiasi.
(Kwa wasio na bundle)ππΎ
Baada ya kupita mitaa fulani nikakutana na tukio hili, hapo ni China na hiyo ni treni ya mapema sana kutoka mji A kwenda mji B.
Kutokana na wingi wa abiria ni wanajazana hadi Askari wa Usalama Stesheni wanaamua, siyo anaamua, bali wanaitana kuwasukumiza abilia waingie ili mradi mlango ufunge.
Nikajiuliza hawa si ndiyo wametuzidi kwa kila kitu, why this?