Ukiona jitu linamtaja taja sana MUNGU kwenye hadhira ujue mtu huyo ana mambo mazito na machafu sana nyuma ya pazia, kwa hiyo upenyo wake wa kujificha ni huko kutaja taja hilo jina. Lakini yote kheri duniani tunapita na hakimu ni MUNGU pekee. Jambo la kuombea nchi yetu kwasasa ni Amani nasio kiongozi bora, kwani MUNGU hajatuwekea mifumo hii ya utawala bali ni akili zetu na utashi wetu.
Uko bar gani kwani maana uyu sio wewe
Mkuu kwani mawazo niliyotoa hapo yanaendana na ulevi, basi samahani kwa hilo ndugu.Uko bar gani kwani maana uyu sio wewe
Lakini unazani sayansi tuliyo nayo nikubwa kuliko wengine amka.Mlifanikiwa kwani mlifanya nini? What did you do to contain the pandemic? You just left nature to take its course, serendipity was our "innovative" measure. Fortunately, nature/serendipity was on our side! There was no scientifically proved deliberate innovation done to arrest the spread of the virus! Had it not been for "nature" to be on our side, the death toll could have been unbearable!
Uposahihi mkuu, kwani tayati Mungu amesha mfahamu nani atakaekua kiongozi mkuu wa nchi, na Mungu ametujua zaidi hata kesho yetu. Ni muhimu sana kujiombea na kuiombea amani ya nchi.Maombi maombi maombi
Muda mzuri tujiombee na tuiombee nchi
Mapenzi ya Mungu yatimizweUposahihi mkuu, kwani tayati Mungu amesha mfahamu nani atakaekua kiongozi mkuu wa nchi, na Mungu ametujua zaidi hata kesho yetu. Ni muhimu sana kujiombea na kuiombea amani ya nchi.