Hii bongo movie unaishtakia kwa Mungu? Hebu mwacheni apumzike, Mungu ana majukumu makubwa sana
Kinaitwa kichungiAshakum si matusi,
Hizo nywele za dada nimejikuta nazifananisha na kibrash cha kuchomvyea kiwi ππππππ
π π πBoda ndio ofisi inayomuingizia hela ya kuendeshea maisha. Hiyo hapo chini ni chuma ulete.
Unadhani ni kipi cha muhimu?
Nimecheka sana..Kinaitwa kichungi
Sio kishungi??Kinaitwa kichungi
Barabara haina hata bamsi