Mambo ya imani siku zote hayapingiki. Inawezakana ni kweli kuna wenye uwezo wa kusimamisha mvua na pia wapo wanaoamini ktk kuondoa magonjwa kwa njia ya imani.
Je, kumpinga mtu katika kile anachoamini ni sawa? Je,watanzania wote wanaamini suala la kuzuia mvua isinyeshe?
Natamani kupata majibu ya hilo swali; hasa baada ya mama kukiri kwamba watazuia mvua isinyeshe kwa ajili ya watalii. I didn't take her answers for granted!
View attachment 2193472
Halafu aharibu joke?Angesema mwishoni kuwa anatania tu.