Kama tunachelewa kuja na Majibu ya 'Tozo Umiza Komoa' kwanini hatukuchelewa pia Kuamua ianze Kutekelezeka ili tuitathmini zaidi?

Kama tunachelewa kuja na Majibu ya 'Tozo Umiza Komoa' kwanini hatukuchelewa pia Kuamua ianze Kutekelezeka ili tuitathmini zaidi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na mlichosahau tu ni kwamba Watanzania wa leo si tu kuwa Wamesoma ( Wameelimika ) bali pia ni Werevu ( wana Akili ) mno ya Kuchakata, Kudadavua na Kupapambua Masuala ( Issues ) tena huenda kuliko walioko Ukumbini Dodoma achilia mbali na Yule mwenye Makazi yake Feri Magogoni na Chamwino.

Nasikia hadi Usiku jana mnahaha Kujibu.
 
Wananchi wa miaka hii yataka maarifa zaidi kuwaongoza maana wanaelewa kudadavua na kufaragua mambo yanayogusa maisha yao kama hili sakata la tozo umiza komoa. Kujibu inatakiwa ujipange kujibu hoja zao.
 
Na mlichosahau tu ni kwamba Watanzania wa leo si tu kuwa Wamesoma ( Wameelimika ) bali pia ni Werevu ( wana Akili ) mno ya Kuchakata, Kudadavua na Kupapambua Masuala ( Issues ) tena huenda kuliko walioko Ukumbini Dodoma achilia mbali na Yule mwenye Makazi yake Feri Magogoni na Chamwino.

Nasikia hadi Usiku jana mnahaha Kujibu.
Mazoea ya kuwaona Watanzania waliobaki wote ni wajinga isipokuwa Wabunge wachache wa chama tawala na viongozi wa serikali ni dhana potofu na ya kitoto inayobebwa na viongozi mbumbumbu wenye ubinafsi ambao wanajificha kwenye kichaka cha uzalendo huku wakiwa wachumia tumbo waliokubuhu.
 
Back
Top Bottom