BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 714
- 1,578
Hapa diniani hakina maandamano ya amani uanayoundiwa Tume su kufanyiwa uchunguziYALIKUWA MAANDAMANO AU UJAMBAZI!?
Majambazi ni Yale mauajiYALIKUWA MAANDAMANO AU UJAMBAZI!?
Nianze kwa kucheka kidogo😊
Kama na wewe ni mtu wa kufikiri naamini hili swali umejiuliza pia
Hii nchi hata mtoto wa miaka 10 ukimuuliza kwanini watu wameandamana tarehe tajwa atakuwa na majibu hata kama siyo ya kujitoshereza ila majibu atakuwanayo.
Sasa kama tunajua kwanini vijana wameandamana kwanini tumeunda tume !?
Jibu ni dogo tu, tunataka majibu yetu wenyewe, Haya ambayo kila mtu anayajua hatuyatambui.
Unajua CCM walizoea kuishi Kwa uongo na propaganda za kijingaLengo hapo ni kutaka tu kuhalalisha uhalifu wao.