Kama tunakubali timu yetu mbovu, kwanini tulijisumbua kwenda AFCON?

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Naona kila mtu anasema Taifa stars ni mbovu, hata kufungwa na Senegal watu wengi wanasema tulistahili, sasa kama tuliyajua haya tulihamasishana kushinda kwenda afcon kufanya nini?? Kwenda kugawa point? Kama tunajikubali kwamba sisi ni wabovu hivi tutasinda hata game moja kweli??

Mbona Uganda amempiga DRC wakat Sisi tulidroo na Uganda tena nchini kwao??

Kwanini basi tusiache kushiriki mashindano yoyote angalau kwa miaka hata 10 hivi tuandae timu kwa mikakati thabiti kuliko kwenda kugawa point huko?
 
Ile mechi na Uganda watu walifanya siasa...tukashinda.

Lakini ki uhakisia sisi hatuna uwezo wa kumfunga Uganda, Kenya, Burundi na Rwanda.

Sasa basi siasa zikapita pale tukapewa ile mechi...leo huko Misri tunaaibika tunarudi na Point 0.

Nawaambieni mimi, kwa timu ile, kwa benchi la ufundi lile aisee hatuna uwezo wa hata kutoa dro na Kenya, ile ni timu mbovu sijapata kuona... yaani tunapigwa zote 3.
 
Naona kila mtu anasema Taifa stars ni mbovu, hata kufungwa na Senegal watu wengi wanasema tulistahili, sasa kama tuliyajua haya tulihamasishana kushinda kwenda afcon kufanya nini?? Kwenda kugawa point? Kama tunajikubali kwamba sisi ni wabovu hivi tutasinda hata game moja kweli??

Mbona Uganda amempiga DRC wakat Sisi tulidroo na Uganda tena nchini kwao??

Kwanini basi tusiache kushiriki mashindano yoyote angalau kwa miaka hata 10 hivi tuandae timu kwa mikakati thabiti kuliko kwenda kugawa point huko?
Timu yetu sio mbovu ila tatizo ni Mtu wa kuhamasisha,ndio maana Mh.Makonda ametumwa kule.Pia kufungwa goli 2 na Timu kubwa kama Senegal inaonyesha timu yetu ni nzuri sana kwani ingekuwa mbovu tungefungwa goli 10,kwa hiyo sikubaliani na wewe kuwa timu yetu mbovu.
 
Unapoongelea team ya Senegal ki rank iko juu Africa ni kwanza pia taifa kama taifa hatujawekeza sana kwenye michezo ingawa kwa sasa academy zipo za watu binafsi tunao wachezaji wetu wameanzi ndondo cup, kombe la mbuzi etc
 
Hata senegal walizigawa world cup kila sehem lazma kuna kupata na kupoteza japo hatupaswi kutumia hik kama kisingizio
Na hata mshind atakuwa mmoja tu ina maana wengine wote watagawa point tuu
 
Back
Top Bottom