Timu yetu sio mbovu ila tatizo ni Mtu wa kuhamasisha,ndio maana Mh.Makonda ametumwa kule.Pia kufungwa goli 2 na Timu kubwa kama Senegal inaonyesha timu yetu ni nzuri sana kwani ingekuwa mbovu tungefungwa goli 10,kwa hiyo sikubaliani na wewe kuwa timu yetu mbovu.Naona kila mtu anasema Taifa stars ni mbovu, hata kufungwa na Senegal watu wengi wanasema tulistahili, sasa kama tuliyajua haya tulihamasishana kushinda kwenda afcon kufanya nini?? Kwenda kugawa point? Kama tunajikubali kwamba sisi ni wabovu hivi tutasinda hata game moja kweli??
Mbona Uganda amempiga DRC wakat Sisi tulidroo na Uganda tena nchini kwao??
Kwanini basi tusiache kushiriki mashindano yoyote angalau kwa miaka hata 10 hivi tuandae timu kwa mikakati thabiti kuliko kwenda kugawa point huko?
Unapoongelea team ya Senegal ki rank iko juu Africa ni kwanza pia taifa kama taifa hatujawekeza sana kwenye michezo ingawa kwa sasa academy zipo za watu binafsi tunao wachezaji wetu wameanzi ndondo cup, kombe la mbuzi etcTimu yetu sio mbovu ila tatizo ni Mtu wa kuhamasisha,ndio maana Mh.Makonda ametumwa kule.Pia kufungwa goli 2 na Timu kubwa kama Senegal inaonyesha timu yetu ni nzuri sana kwani ingekuwa mbovu tungefungwa goli 10,kwa hiyo sikubaliani na wewe kuwa timu yetu mbovu.