Kama tunamsifia ni Kipa mzuri kuliko Aishi imekuwaje Penati ya Juzi hakuidaka na Kafungwa Goli ambalo Aishi asingefungwa?

Simba SC hatuna Shabiki ' Popoma ' kama Wewe tafadhali sawa? Kahangaike na Makipa wako Wawili wa Yanga SC ' wanaorogana ' kila Kukicha hadi lawama zimeshafika katika Uongozi wa Juu.
Achana na Yanga wewe.
 
Mleta mada kahongwa a.k.a kapewa mlungula si kwa povu hili. Basi mpeleke kwenye timu yenu ya Rwanda a.k.a Amavumbi maana we unajulikana kabisa bila ni Mkimbizi toka Rwanda unayejivika uzanaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…