Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea
Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu,
So inakuwaje upungufu wa megawati 300 kati ya 1600 unasababisha mgao mkali kiasi hiki?
Maana kuna baadhi ya miji umeme unakatika masaa 16 kwa siku, haya yote kwa upungufu wa megawati 300 pekee!?