Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kinachofanyika hapa ni utapeli, uongo na ushenzi.Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea
Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu,
So inakuwaje upungufu wa megawati 300 kati ya 1600 unasababisha mgao mkali kiasi hiki?
Maana kuna baadhi ya miji umeme unakatika masaa 16 kwa siku, haya yote kwa upungufu wa megawati 300 pekee!?
Sijui ni kiasi gani, ila kwa hali ya kawaida isiyokuwa na mgao uzalishaji ni MW 1600 na sasa tunazalisha MW 1300,Mahitaji ya nchi ni megawatts ngapi?
Awamu ya tano zilikuwa megawatt 1600. Awamu hii Nafikiri zinaweza kuwa megawatt 450! Si unakumbuka tuliambiwa maji kwenye mabwawa ya Kidatu, Mtera, Nyumba ya...., yalikuwa yana funguliwa makusudi - kusudi umeme usipatikane makusudi Mazima ili watu kadhaa wafaidike!Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea
Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu,
So inakuwaje upungufu wa megawati 300 kati ya 1600 unasababisha mgao mkali kiasi hiki?
Maana kuna baadhi ya miji umeme unakatika masaa 16 kwa siku, haya yote kwa upungufu wa megawati 300 pekee!?
Sio kweli.Tubadilike watanzani tuanze kupanda miti tutalaume tanesco mpaka lini.idadi ya watu imeongezeka. watu wanao ingiza umeme ni wengi.Lakin Uharibifu wa mazingira umekidhiri sana.watu wanakatakata ovyo miti ndio chanzo cha chemichemi kukauka.
Na samaki nao nasikia wamechangia kumaliza maji, mi nimewashauri wawahamishe samaki wote kwenye vyanzo vya maji.
Kundi la Ng'ombe 5,000 limevamia na kunywa Megawati, kama unavyojua Ng'ombe mmoja anakunywa Megawati moja. Hivyo hata hizo wamegombania hazijiwatosha.
🤣🤣🤣🤣
Kundi la Ng'ombe 5,000 limevamia na kunywa Megawati, kama unavyojua Ng'ombe mmoja anakunywa Megawati moja. Hivyo hata hizo wamegombania hazijiwatosha.
Mahitaji ya nchi ni megawatts ngapi?
kumbuka tanesco wenyewe ndiyo wanaongoza kukata miti walikopitisha nyaya zakeTubadilike watanzani tuanze kupanda miti tutalaume tanesco mpaka lini.idadi ya watu imeongezeka. watu wanao ingiza umeme ni wengi.Lakin Uharibifu wa mazingira umekidhiri sana.watu wanakatakata ovyo miti ndio chanzo cha chemichemi kukauka.
Aiseekumbuka tanesco wenyewe ndiyo wanaongoza kukata miti walikopitisha nyaya zake
Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea
Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa Megawati 300 ni umeme mdogo sana ukilinganisha na uzalishaji wetu,
So inakuwaje upungufu wa megawati 300 kati ya 1600 unasababisha mgao mkali kiasi hiki?
Maana kuna baadhi ya miji umeme unakatika masaa 16 kwa siku, haya yote kwa upungufu wa megawati 300 pekee!?
Mahitaji yetu ni 1300Umejiuliza kama hizo 1600MW zinatosha au lah?
Mahitaji yetu ni 1300
Tunazal8sha 1900Megawatts na Mahitaji ni 1500Megawatts na hivyo tuna balance ya 400Megawatts....Shortage niv300Megawatts!Mahitaji ya nchi ni megawatts ngapi?
Sasa kama wao ndio takwimu watupa, tukiwahoji si tunatumia hizo hizo?Hizi ni takwimu za kisiasa, umeme unaozalishwa sio toshelevu haswa kwa viwanda...