Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Kama Cognizant (alias) Adorable Angel ningeulizwa nichague kipi kizuiwe na kisicho na faida kwa taifa kati ya Siku ya Uhuru 9 Desemba na Mbio za Mwenge wa Uhuru haraka sana bila kupoteza muda ningepinga kuwepo kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini.

Kwanini? Siku ya Uhuru wetu (9 Desemba) najifunza mengi, najawa zaidi na morali ya kizalendo, naheshimishwa kama Mtanzania na Tanzania nayo inaheshimishwa kimataifa. Ila katika Mbio za Mwenge ule moshi huwa unanidhuru zaidi kiafya, vumbi jingi, vitendo visivyo na maadili hutokea hasa usiku na baada ya Mwenge, idadi ya wapumbavu huwa naona inaongezeka tu.

Spana zitaisha pale tu mkijirekebisha.
 
Back
Top Bottom