Waandishi wa udaku walimuweka kundi hilo mkuu na watu wakaamini hivo.
Labda angeanza kuhojiwa na tv za kueleweka huenda watu wangemuamini lakini waliokua wanamuhoji sana ni wale waandishi uchwara.
Utaskia wanamuuliza vipi unahisi harmorapa utamzidi kwa umaarufu?? wakati si ajabu uyo mzee hata huyo harmorapa hamjui.
Mi naamini uyo mzee fuba alikua nazo kweli na hata kwenye msiba wake waligusia hiyo historia yake na izo fuba zake za urusi.