ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mara ya kwanza ilikuwa ni Rwanda ndio inashitumiwa ila Sasa kumbe Hadi Uganda inasaidia ndugu zao wa Kitusi walioko Mashariki ya DRC.
---
Uganda ilikanusha kuhusika,ikisema inashirikiana kwa karibu na vikosi vya serikali ya Congo.
Umoja wa Mataifa kwa muda mrefuumeishutumu Rwanda kwa kuunga mkono kundi la M23, ambalo mara kadhaa limetekasehemu kubwa ya eneo lenye utajiri wa madini mashariki mwa Congo, madai ambayoRwanda ilikanusha.
Kongo imekumbwa imekumbwa na vita kwa miongo kadhaa. Uganda na Rwanda ziliivamia mwaka 1996 na 1998 kwa kile walichosema ni ulinzi dhidi ya makundi ya wanamgambo wa ndani yanayohatarisha usalama wa nchi zao.
Uganda bado inaendesha operesheni ya pamoja na wanajeshi wa Congo dhidi ya kundi la waasi la Uganda.
Waasi wa M23 wanaoongozwa na Watutsi wa Congo wamekuwa wakianzisha uasi mpya mashariki mwa DRC tangu mwaka 2022.
Wanajeshi wa Uganda walikuwa sehemu ya kikosi cha kikanda kilichotumwa mwezi Novemba 2022 kufuatilia usitishaji mapigano na M23. Mamlaka ya Congo ilitoa wito kwa kikosi hicho kuondoka mwaka jana, ikisema hakikufanya kazi.
---
Hata hivyo, Rwanda haijawahi kukiri kuwa wanajeshi wake wamekuwa wakipigana ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
My Take: Kwa utaratibu huu basi naona Taifa Jingine linaenda kuundwa Kwa kuimega DRC.
---
Uganda ilitoa msaada kwa waasi wa M23 nchini Congo
Jeshi la Uganda limetoa msaada kwa waasi waM23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyoshuhudiwa na Reuters siku ya Jumatatu imesema,huku mapigano yakiongezeka na kuzusha hofu ya kutokea kwa mapigano mapya.Uganda ilikanusha kuhusika,ikisema inashirikiana kwa karibu na vikosi vya serikali ya Congo.
Umoja wa Mataifa kwa muda mrefuumeishutumu Rwanda kwa kuunga mkono kundi la M23, ambalo mara kadhaa limetekasehemu kubwa ya eneo lenye utajiri wa madini mashariki mwa Congo, madai ambayoRwanda ilikanusha.
Kongo imekumbwa imekumbwa na vita kwa miongo kadhaa. Uganda na Rwanda ziliivamia mwaka 1996 na 1998 kwa kile walichosema ni ulinzi dhidi ya makundi ya wanamgambo wa ndani yanayohatarisha usalama wa nchi zao.
Uganda bado inaendesha operesheni ya pamoja na wanajeshi wa Congo dhidi ya kundi la waasi la Uganda.
Waasi wa M23 wanaoongozwa na Watutsi wa Congo wamekuwa wakianzisha uasi mpya mashariki mwa DRC tangu mwaka 2022.
Wanajeshi wa Uganda walikuwa sehemu ya kikosi cha kikanda kilichotumwa mwezi Novemba 2022 kufuatilia usitishaji mapigano na M23. Mamlaka ya Congo ilitoa wito kwa kikosi hicho kuondoka mwaka jana, ikisema hakikufanya kazi.
---
Umoja wa Mataifa wasema Wanajeshi wa Rwanda wanawasaidia waasi wa M23
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema wanajeshi 3,000 hadi 4,000 wa Rwanda wamelisaidia kundi la waasi la M23 dhidi ya jeshi la Congo mashariki mwa DRC.Marekani imeiomba Rwanda kuondoa wanajeshi wake kutoka Congo na kusitisha msaada kwa waasi wa M23, ambao wanatuhumiwa kufanya uhalifu ikiwemo kuumiza raia.Hata hivyo, Rwanda haijawahi kukiri kuwa wanajeshi wake wamekuwa wakipigana ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
My Take: Kwa utaratibu huu basi naona Taifa Jingine linaenda kuundwa Kwa kuimega DRC.