Kama ukiamua kuchagua,utakwenda kwa nani kati ya awa???

Kama ukiamua kuchagua,utakwenda kwa nani kati ya awa???

Team anaconda beibiiiii huyo fa mlamba tigo ya ruge hana lolote
 
kama kawa kamanda anahusika....huyo mbana pua namdelete tu...
 
Jide

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hamis Mwinjuma!......mwanamuziki msomi anayetumika kama mtaji wa Watwana!

Namkubali sana katika uandishi!
 
Kwani huyo wa upande wa kulia ndio nani na ameimba nyimbo zipi?
 
jide huyo fa kibaraka amshukuru gk mtaa wa kalenga.
 
Back
Top Bottom