Kama ukibadilishana simu na mpenzi wako........

GreatMkubwa

Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
99
Reaction score
57
If you are to exchange phones
with your partner, what would you
check first??? PUT A NUMBER
1 = Call history
2 = Sms
3 = Facebook inbox
4 = Whatsapp
5 = Airtime balance
6 = Photos and Videos
7 = How your name is saved
8 = Others (please specify)
 
Mambo ya zamani hayo hutopata mwanamke wa kihivyo...
 
Kwanini uikague simu ya mwenzi wako?
Unatarajia kukuta nini?
 
hahaa ,. mi naenda kw 2 japo najua nitaambulia presha tuu
 
Kwa nini mbadilishane simu? Unaweza kutumia simu ya mpenzi wako, lakini kubadilishana? Watu wakimtafuta je?
 
Mi napendaga sana hiyo namba 8.
 
mimi sasa hv natumia simu ya demu wangu sijawahi kuikagua zaidi ya kuongeza Opera Mini ili niwe naingia JF
 
Salio muhimu asije akawapigia vidumu vyake kwa pesa zangu!!!
 
Kwanini ubadilishane sasa??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…