Kama uko Dodoma na huna ajira njoo nikufundishe udalali

Kijana lazima upambane! Natafuta vijana wawili(02) ambao wako Dodoma niwasaidie wajifunze udalali, wapambane kupunguza ugumu wa maisha.

-Utachagua wewe kati ya magari au nyumba+viwanja ama vyote

0622111186

MAISHA UBISHI
Mimi hapa 🙌🙌🙌🙌🙌👊👊👊
Nipo Dodoma
 
Kijana lazima upambane! Natafuta vijana wawili(02) ambao wako Dodoma niwasaidie wajifunze udalali, wapambane kupunguza ugumu wa maisha.

-Utachagua wewe kati ya magari au nyumba+viwanja ama vyote

0622111186

MAISHA UBISHI
Mkuu, nikikuletea hao vijana utaniachaje achaje?
 
Back
Top Bottom