Kama uko Dodoma niuzie PC yako inisadie kwenye shughuli zangu

Kama uko Dodoma niuzie PC yako inisadie kwenye shughuli zangu

Nipo dar,ongea una bei gani mashine zipo used na Mpya naweza kutuma Dodoma..core 2 duo 170k
 
Ndio mkuu,una mzigo gani
Hiyo Asus vivobook 15 View attachment 3008417
PXL_20240508_163851381.jpg
 
Nina uhitaji na PC kama uko Dom una PC umeichoka ila ni nzima na nzuri niuzie kwa bei ya kitanzania ya kulia lia nami inisogeze kwenye mambo yangu

Fanya kama unanisaidia
Hujui maduka yaliko? Mbona used kibao tu bei chee!!!!!
 
Back
Top Bottom