Kama ulichezea hiyo na hujaoa hadi leo god is watching u!

Kama ulichezea hiyo na hujaoa hadi leo god is watching u!

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
1471859753516.jpg
 
Dah! hili Game nmelicheza nikiwa na Miaka sita/saba hivi, miaka ya Juzi juzi tuu 1998-2003. Ila mpaka leo sijaoa na wala Muda haujafika😀😀😀😀
 
Dah long sana brick game mm napenda gem pka leo nacheza ps4 ntafute kwene psn at am_fahmy5
 
Kumbe kijana wangu anapaswa kuoa sasa[emoji15]
Bahati mbaya sana hata mimi baba yake bado nipo nipo kwanza[emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji38][emoji38][emoji38] wewe mzee una matatizo sana
 
Dah kwan ilo gemu ni la miaka gani asee? kumbe kuna vizee humu vipo single [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah kwan ilo gemu ni la miaka gani asee? kumbe kuna vizee humu vipo single [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza basi utani wa keli aiseeee [emoji19] [emoji19]
 
[emoji57] [emoji57] Is God watching Me only If played that brick game[emoji780]
 
Legeza kidogo.

Kama hujabahatika kuoa/kuolewa basi japo uwe na mtoto hata wa kusingiziwa.
 
Daah nmecheza sana hiyo game, kumbe nmezeka ee na hata dalili ya kuolewa cna
 
Back
Top Bottom