Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wa Kanisa gani?Abarikiwe Askofu Mwamakula
It doesn’t matter by the way Askofu Rashid yuko wapi?Wa Kanisa gani?
Kawe!It doesn’t matter by the way Askofu Rashid yuko wapi?
Moravian Tanzania , Great Thinker wakishamuona Mtu machachari huwa wanajaribu kujitahidi kumfahamu , Ni aibu sana kama hadi leo humfahamu Mwamakula , mtu aliyesomea na kusimikwa uaskofu nchini Uingereza .Wa Kanisa gani?
AminaAbarikiwe Askofu Mwamakula
Masikini wengi wanawaza hivyoAskofu njaa
aminaAskofu huyu Mwamakula Mungu na azidi kumtia nguvu ns ujasiri.
mwamakula sio askofu, ni manachadema, pia nawaonea huruma kwasababu mnamwamini sana kumbe ni pandikizi. kalagha baho. hivi kweli iwewe ujiite askofu lkn unashinda kweney mikutano yote ya chadema, unashinda mahakamani kwa mbowe, unashida barabarani, kwani hauna kanisa? na unashadadia chama kimoja tu, kwani waumini wake wote ni cdm? anahubiri saa ngapi pale?Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU ,
Sema amina
Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa maslahi yao binafsi .
Msikilize hapa .
View attachment 2010613
Wameshaanza kufedheheka. Mfalme Sauli alizuia mchakato wa Katiba alikufa kifo cha aibu kule milima ya Goeni kwa kupiga nchi ya mkuki.Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU ,
Sema amina
Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa maslahi yao binafsi .
Msikilize hapa .
View attachment 2010613
Utopolo. Akiwa Gwajima ni askofu akiwa Mwamakula sio askofumwamakula sio askofu, ni manachadema, pia nawaonea huruma kwasababu mnamwamini sana kumbe ni pandikizi. kalagha baho. hivi kweli iwewe ujiite askofu lkn unashinda kweney mikutano yote ya chadema, unashinda mahakamani kwa mbowe, unashida barabarani, kwani hauna kanisa? na unashadadia chama kimoja tu, kwani waumini wake wote ni cdm? anahubiri saa ngapi pale? halafu ni mtu aliyejiita askofu baada ya kuasi ndio maana hana jengo la kanisa na wanajiita moravian waliojitenga...
Akiwa Gwajima na Lwakatare ni maaskofu wakiwa Mwamakula ni askofu njaa😅😅😅Askofu njaa
[emoji38][emoji38][emoji38]Utopolo. Akiwa Gwajima ni askofu akiwa Mwamakula sio askofu
Mwanakondoo ameshinda tumfuate.Yeyote atakayejaribu kukwamisha mchakato wa Katiba Mpya AFEDHEHESHWE KWA JINA LA YESU ,
Sema amina
Hii ndio dua kabambe aliyoiomba Baba Askofu Emaus Bandekile Mwamakula kwa Mamluki wote wanaopinga Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa maslahi yao binafsi .
Msikilize hapa .
View attachment 2010613
Mtaa nyooka tu kuifuta KATIBA MPYAADini na siasa za kisekula wapi na wapi ?!!!!
Ungeniambia wale wapakwa mafuta na mitume ya Yehova ili wawatawale wana wa Israeli hapo sawa.....
Wana wa Israeli imebaki historia tu......
Nakusalimu kwa maamkizi ya mwanzo wa wiki kwetu wakazi wa Israel,SHAVUA TOV YETZER HA-TOV🙏