Kama uliipenda Fast and Furious, tazama hii pia

Mbona nnayo iyo. Hapa nasubiri furious 9 maana umo ndani kuna jon cenna, Kadi B na pia mzee wa mzima HAN amerudi. Alipotelea tangu 6
 
Movie kali lakn sijui kwa nn ipo kawaid tu nazan vin hakutakiwa Ku act hii movie it's just like there is something is missing
 
Ajaribu kuwasiliana na Cameroon amumtengenezee kitu kimoja cha uhakika kama kile cha Alita

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani vin diesel ndiye anayetengeneza movie au unadhani movie ni zake??...yeye anaitwa tu akaigize Kisha alipwe chake asepe haijalishi movie mbaya au nzuri...yeye akisaini mkataba na kampuni inayotengeneza movie ndo bas........bajeti ya movie moja ni kuanzia angalau $milion 150 Kama bilioni 320 za tz.....Sasa huyo vin ataanzaje kuongea na Cameroon.........
......alafu jamaa asikilizi mashabiki anaangalia maslahi yake......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…