thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,851
Hello!,
Kama kichwa rungu hapo juu kinavyotanabahi kama wew ulijifunza baiskeli kwa mtindo unaoonekana pichani hapo chini tafwadhali 2018 oa/olewa na utoke kwenu usiwa-parasite wazee wako.
Unakuta lijamaa,au libibi lizima lipo kwao kazi kufunua mahotpot na kumkomandi house girl as if nyumba ni ya kwake eish we limtu hapo sio kwako toka katafute mji wako mnakera eti.
Afu sasa unakuta kama ni mwanaume ndo tabia zinashuka kabisa kwa wazee kutwa kuingiza madem kwa hau,kama ni manzi eish linashinda club for nothing toka kwenu Mze.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]