kama ulikosa mkopo mwaka huu hii inakuhusu

slab

Senior Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
119
Reaction score
27
jaman nawasihi muombeni sana mungu yeye ndio muweza wa yote!!!!!
 
what is this? hakna Mngu kwnye mambo ambayo yanawezekana waz waz be ready to die for your rights hata sir God kaxema utakula kwa jasho like wise gelz utazaa kwa uchungu but now wanazaa kwa uchungu na wanakula kwa jaxho na vle vle sir God said usiwe mpole kupita kiasi LENGO LANGU NI KUTAKA WATU TUTAMBUE WAJIBU WETU KAMA NI HAKI YAKO DAI BILA KUOGOPA NA KAMA NI KAZI FANYA KWA UWEZO WAKO WOTE NA HAPO MNGU ATASIMAMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…