Kama Ulikua Huelewi Kwanini Walisema Mungu Sio Athumani Basi Msome Shabiki Huyu Wa Mo Salah.

Hahaha Mwarabu Vs Mmbantu. Yaani hakuna dini ya kijinga kama hii, hili lijinga unaweza kuta linapanga hata kwenda kumuua kabisa lilivyo jinga.
Mpumbavu mmoja anafanya uislam uonekane wa kijinga na sio yeye mjinga, je hao wanaokataa ndoa za mke zaidi ya mmoja lakini wanapata nafasi ya kujadili ndoa za jinsia moja huoni kama dini lao ni la kijinga? Wanataka kuwabariki kabisa.
 
Ni kweli yaani kuna vitu vingi vya kijinga kijinga. Eti ndoa za wake wengi dhambi ila ushoga eti uruhusiwe, yaani kuna ujinga mwingi sana. Ila naamini jamii ya sasa ni ya kuhoji naamini hata wale waislamu wajinga wa kuua watu kisa huyo ala wataisha dunia itakuwa na amani kama ilivyokuwa kwa crusaders wajinga wajinga wa kupigania dini
 
Kwahiyo dini ni za kijinga au wapokea maandiko ndio wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…