Kama ulikuwa hujui basi Hemedy PHD na Najma sasa ng'are ng'are

Kama ulikuwa hujui basi Hemedy PHD na Najma sasa ng'are ng'are

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Nimekutana na hizi picha za Hemedy akimbusu msanii wa muziki na filamu Najma na maneno yalioambatana na picha hizo yakizungumzia ndoa na harusi....Huenda sasa hawa ni mambo safi ...Najma alikuwa ni mpenzi wa Mr Blue zamani ......
 
Utata kidogo maana kuna thread nyingine inakinzana na hii si kasema baana ya Byaser hajapata dudu nyingine blah blah
 
Aisee hadi rahaa naj ana vituko hapo Hemed ni pambo tu!!!!kwa hiyo hapo wapo Uk?
 
wadada sijui huwa manapenda nn...jamaa alishasema hapendi kuoga.....lkn bado anaopoa vyombo...
 
money stunna ungemuuliza hemed na huyu tumuhisabu ktk mafanikio yake ya sanaaa
 
Hemed anajitoaga akil muda mwngne me yangu macho
 
wadada sijui huwa manapenda nn...jamaa alishasema hapendi kuoga.....lkn bado anaopoa vyombo...

Watu bwana, yule unadhani kweli haogi kwa akili yako? alikuwa anataka tu attention kwasababu namjua vizuri Kuoga anaoga tena kama kawa
 
Back
Top Bottom