Kama Ulikuwa Hujui Kirefu cha SUMATRA Njoo Nikueleze

Kama Ulikuwa Hujui Kirefu cha SUMATRA Njoo Nikueleze

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Ninajua unajua virefu vya mashirika meengi -TANESCO,UDSM,CHADEMA, CCM, nk nk, lakini je wajua kirefu cha SUMATRA? Kamata kirefu chake leo hapa JF:

Saidia
Usafiri wa
Majini na
Ardhini
Tuokoe
Roho za
Abiria
OK? Bye.
 
Duh. Hii kiboko
 
Surface and Marine transport regulatory Authority.
Safisha Marinda ya Spoti ya kufanya nini vile?Mambo ya wapi haloo hayo? Yaani hujui sumatra ni saidia usafiri wa majini na ardhini tuokoe roho za abiria?Wacha ubishi bwana!
 
Back
Top Bottom