Kama ulikuwa hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe… Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,501
Reaction score
6,649
Kama ulikua hujui kuna aina ngapi za BIKRA wacha nikufahamishe;-
Najua unafahamu kuwa BIKRA ni kitu gani,

Ila hujui kama BIKRA zipo za aina mbalimbali,

Sasa leo wacha nikufahamishe ya kuwa,

Kwa ujumla BIKRA zipo za aina tano za BIKRA,

Je unataka kujua zinaitwaje na zina onekana vipi,

Wacha nikufahamishe aina hizo za BIKRA kama ifuatavyo:-



1) ANNULAR HYMEN



Hii ni aina ya BIKRA ambayo leya inayoziba UKE,

Huwa na tundu moja dogo katikati kama unavyo ona hapo chini,

Aina hii ya BIKRA ndio wanayo wanawake wengi duniani.

2) CIBRIFORM HYMEN

Hii ni aina ya BIKRA ambayo leya inayoziba UKE,

Huwa na vitundu vidogodogo zaidi ya kimoja,

Katika ya UKE kama unavyo ona hapo chini.

Hii ni aina ya pili ya BIKRA kuwa nayo wanawake wengi duniani.

3) SEPTATE HYMEN

Hii ni aina ya BIKRA ambayo leya inayoziba UKE,

Huwa na matundu mawili madogo kama unavyo ona hapo chini,

Hiii pia ni aina ya BIKRA ambayo wanawake wengi huwa nayo,

Ikifuatiwa na aina mbili nilizo zitaja hapo juu.

4) IMPAFORATED HYMEN



Hii ni aina ya BIKRA ambayo sio ya kawaida,

Aina hii ya BIKRA inawapata wanawake wachache sana duniani,

Ndio maana nimesema sio BIKRA ya kawaida,

Mwanamke mwenye BIKRA ya namna hii,

Uke wake hauwezi kupitisha damu ya hedhi,

Kwasababu leya inayoziba UKE huwa haina tundu,

Wanawake wenye BIKRA ya aina hii ili wapate HEDHI kama wanawake wengine,

Ni lazima yeye mwenyewe atoboe au atobolewe tundu,

Ndio hupata hedhi kama wanawake wengine,

Akiacha bila kutoboa au kutobolewa tundu,

Lazima atapata madhara ya kiafya kwasababu,

Atakua anaingia periodi kama kawaida,

Ila damu itakua inajaa kwenye uke tu haitoki nje.

5) PAROUS INTROITOUS HYMEN

Hii ni ana ya BIKRA ambayo leya inayoziba UKE huwa haipo,

Yaani unaweza kudhani kuwa mwanamke amewahi kufanya mapenzi,

Lakini ukweli ni kuwa anakua hajawahi kufanya mapenzi,

Aina hii pia sio aina ya kawaida kwasababu,

Hutokea kwa wanawake wachache sana.

Hizo ndio aina za BIKRA walizokuwa nazo wanawake hapa duniani.

Makala hii imeletwa kwenu na magical power
 
Jambo fikirishi sanaaa

Watu wapata taabu sana kuishi maisha na wenza kwa kuwa mawazo ya mmojawapo yanawaza alikotoa bikraa. .... wanaume wanaoa wake wasio wao na wanawake wanaolewa na wanaume wasio wao kirohooo

Ukiona yamekuzidi ishi kiibada zaidi

GUdubayiiii
 
Sawa scientist!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…